ONGEZA FOLLOWERS SOCIAL MEDIA
Karibu incognito followers point, sehemu pekee ya uhakika unayoweza kuongeza idadi ya followers katika mitandao yako ya kijamii ili kufanya content zako ziwafikie watu wengi zaid ndani na nje ya mipaka ya nchi uliyopo
Kuhusu Sisi
Mitandao ya kijamii imekua na mchango mkubwa sana katika utangazaji wa biashara na hata content binafsi za mtu ili kujipatia kipato. Lakini changamoto kubwa inayowakumba watu ni namna ya kukuza account zao za mitandao ya kijamii ili kufikia watu wengi zaidi na hivyo kuongeza mauzo au kupata kipato zaidi. Hapa ndipo incognito followers point inapoingia, tunatoa huduma ya kuongeza followers kwenye mitandao ya kijamii kwa haraka, salama na kwa bei nafuu ili kuhakikisha content zako zinawafikia watu wengi zaidi ndani na nje ya mipaka ya nchi uliyopo kwa bei nafuu sana
Lengo Letu
Kuhakikisha kila mtumiaji wa mitandao ya kijamii ananufaika kwa kiwango cha juu zaidi
Tunajifunza kila siku ili kuendana na kuzoea mabadiliko yote ya mitandao ya kijamii. Tunajitahidi kubaki mstari wa mbele katika kutoa huduma zetu, tukihakikisha tunakuza accout yako kwa njia zilizo bora na kisasa.
Kanuni zetu kuu
wateja walofurahia huduma
Huduma zetu
Tuna ongeza followers
Instagram, tiktok, X na mengine. followers wa uhakika na wanaojihusisha moja kwa moja na post za account yako. Followers kutoka NCHI YOYOTE
Uanzilishi wa mikakati
Mikakati ya uendelezaji wa account yako katika namna iliyo bora na inayofaa, ikiwemo mpangilio wa content posting na mambo mengine mbalimbali.
Tuna kuza acount
Account za makampuni yanayohitaji washiriki kupitia social media ili kukusanya maoni na kupata ushirikiano wa moja kwa moja kutoka kwa wateja wake.
Kukuza kipato
Kwa wale wanaohitaji kupata hela kupitia social medias, tunatoa mwongozo mzur wa namna gani unaweza kuongeza kiwango cha hela zinazotokana na media.
Bei za huduma
Bei hizi ni elekezi na hazitabadilika kwa namna yoyote
Instagram na tiktok
Huduma ya kufanya kazi kwa Instagram na TikTok
- Followers na likes katika post
- Followers kutoka nchi yoyote
- Utoaji wa haraka
Youtube
Huduma ya kufanya kazi kwa Youtube
- Subscribers na views wa uhakika
- Utoaji wa haraka
X (Twitter)
Huduma ya kufanya kazi kwa X (Twitter)
- Followers wa kweli na wa kudumu
- Followers kuto nchi yoyote
- Utoaji wa haraka
Jiunge nasi leo !!!
Kuza uwepo wako mtandaoni kwa gharama nafuu sana
Wasiliana nasi
Location
Dar es Salaam, kigamboni, kibada petrol station
Barua pepe
incognitoxr52@gmail.com
Tupigie
+255 749 246 701
Masaa ya Kazi
Jumatatu-Ijumaa: 3 asubuhi - 7 mchana
Jiandikishe kwa Huduma
Jaza taarifa zako kisha utapokea ujumbe wenye maelekezo ya namna ya kulipia ili upate huduma unayohitaji
soma masharti ya huduma kabla ya kuendelea